Kipangasinan ni lugha ya Kiaustronesia nchini Ufilipino inayozungumzwa na Wapangasinan. Mwaka wa 1990 idadi ya wasemaji wa Kipangasinan nchini Ufilipino imehesabiwa kuwa watu 1,160,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kipangasinan iko katika kundi la Kifilipino.

Ramani ya lugha ya Kipangasinan

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kipangasinan kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
  NODES