Kiswidi ni lugha ya Kigermanik ambayo husemwa na zaidi ya watu milioni 10 hivi Uswidi kote na sehemu za Ufini[1].

Kiswidi
svenska
Pronunciation [ˈsvɛ̂nskâ]
Inazungumzwa nchini Uswidi, Ufini
Jumla ya wazungumzaji 10,000,000
Familia ya lugha Lugha za Kihindi-Kiulaya
Mfumo wa uandikaji Alfabeti ya Kilatini
Hadhi rasmi
Lugha rasmi nchini Uswidi, Ufini
Hurekebishwa na Svenska språkrådet (nchini Uswidi), Svenska språkbyrån (nchini Ufini)
Misimbo ya lugha
ISO 639-1 sv
ISO 639-2 swe
ISO 639-3 swe
Kiswidi
Kiswidi

Viungo vya nje

hariri

Tanbihi

hariri
  1. Ethnologue 21st Edition, retrieved 21 February 2018

Marejeo

hariri
  NODES
Note 1