Kiteke-Ibali (lugha)

Kikundi kidogo cha lugha za Kibantu zinazozungumzwa nchini Gabon, Jamhuri ya Kongo na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo

Kiteke-Ibali ni lugha ya Kibantu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inayozungumzwa na Wateke-Ibali. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kiteke-Ibali katika Jamhuri imehesabiwa kuwa watu 167,000. Pia kuna wasemaji 36,200 nchini Jamhuri ya Kongo. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kiteke-Ibali iko katika kundi la B70.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiteke-Ibali (lugha) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
  NODES