Kiwongo (lugha)

Lugha ya Kibantu inayozungumzwa katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo

Kiwongo ni lugha ya Kibantu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inayozungumzwa na Wawongo. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kiwongo ilihesabiwa kuwa watu 12,700. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kiwongo iko katika kundi la C90.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiwongo (lugha) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
  NODES