Kizay ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Ethiopia inayozungumzwa na Wazay. Mwaka wa 1994 idadi ya wasemaji wa Kizay imehesabiwa kuwa watu 4880. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kizay iko katika kundi la Kisemitiki.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kizay kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
  NODES