Kloni (kutoka neno la Kiingereza; pia dutu mnasaba) ni seli, kiumbehai au kundi la seli au viumbe waliozalishwa bila jinsia kutoka kwa mzazi mmoja, hivi kwamba jeni zao zinafanana kabisa.

Kondoo Dolly alipatikana mwaka 1996 kutoka kwa mama tu; anaonyeshwa katika Royal Museum of Scotland.

Teknolojia hiyo haijakamilika na inasababisha maswali mazito ikilenga binadamu.

Makala hii kuhusu mambo ya biolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kloni kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
  NODES