Kristen Jaymes Stewart (alizaliwa Aprili 9, 1990) ni mwigizaji na mtengenezaji wa filamu wa nchini Marekani.

Kristen Stewart
Kristen Stewart, mnamo 2024.
Kristen Stewart, mnamo 2024.
Jina la kuzaliwa Kristen Jaymes Stewart
Alizaliwa 9 Aprili 1990 (1990-04-09) (umri 34)
Kafariki Los Angeles, California
Kazi yake Muigizaji
Miaka ya kazi 1999 - hadi leo

Mwigizaji aliyelipwa pesa nyingi zaidi duniani mwaka wa 2012, amepokea tuzo mbalimbali kama vile British Academy Film Award na César Award.

Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kristen Stewart kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
  NODES
os 1