Kyrie Irving
mchezaji wa mpira wa kikapu wa marekani
Kyrie Andrew Irving (alizaliwa 23 Machi 1992) ni mchezaji wa mpira wa kikapu katika timu ya Brooklyn Nets katika Chama cha taifa cha mpira wa kikapu (NBA) nchini Marekani.
Alipewa jina la mchezaji bora mgeni katika mashindano ya mpira wa kikapu baada ya kuchaguliwa na timu ya Clevaland Cavaliers akiwa kama mchezaji wa kwanza kuchaguliwa katika machaguzi ya wachezaji kwenye Chama cha taifa cha mpira wa kikapu(NBA) mnamo mwaka 2011. Amefanikiwa kupewa nafasi ya kati ya wachezaji mastaa katika chama hicho kwa mara sita. Mnamo mwaka 2016 aliweza kujipatia pamoja na timu yake ya Clevaland Cavaliers ushindi kama timu bora.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kyrie Irving kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |