Lund ni mji nchini Uswidi. Ni mji kongwe katika Uswidi, ulianzishwa 990. Kuna wakazi 76,188 (mwaka 2005).

Ukumbi wa Lund

Jiografia

hariri

Eneo lake ni 24.99 km². Iko kando ya mlangobahari ya Oresund.

Vyuo vikuu

hariri
  • Chuo kikuu cha Lund (1666)
  • Chuo Kikuu cha Teknolojia

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu maeneo ya Uswidi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Lund kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
  NODES