Luteni jenerali ni ofisa wa jeshi mwenye cheo cha juu kuliko meja jenerali na chini ya jenerali.

Nyota anazopewa mtu mwenye cheo cha Luteni jenerali

Luteni jenerali wa jeshi la Tanzania kwa sasa ni Yakubu Hasan.[1]

Marejeo

hariri
  1. https://www.jamiiforums.com/threads/uteuzi-rais-magufuli-amteua-meja-jenerali-yakubu-mohamed-kuwa-mnadhimu-mkuu-jwtz-awapandisha-cheo-brigedia-jenerali-10.1398617/
  NODES
Done 1