Møre og Romsdal ni moja kati ya Majimbo ya Norwei. Jimbo lipo katika moja ya sehemu za kaskazini mwa Magharibi mwa Norwei. Limepakana na jimbo la Sør-Trøndelag, Oppland na Sogn og Fjordane. Makao makuu ya jimbo yapo mjini Molde, wakati Ålesund ina-simama kama jiji kubwa.

Møre og Romsdal

Manispaa za jimboni hapa

hariri
 
Mahali pa Manispaa za Møre og Romsdal

Møre og Romsdal jumla imegawanyika katika manispaa 36:

  1. Ålesund
  2. Aukra
  3. Aure
  4. Averøy
  5. Eide
  6. Fræna
  7. (Frei -meungwanishwa na Kristiansund 1 Januari 2008)
  8. Giske
  9. Gjemnes
  10. Halsa
  11. Haram
  12. Hareid
  13. Herøy
  14. Kristiansund
  15. Midsund
  16. Molde
  17. Nesset
  18. Norddal
  19. Ørskog
  1. Ørsta
  2. Rauma
  3. Rindal
  4. Sande
  5. Sandøy
  6. Skodje
  7. Smøla
  8. Stordal
  9. Stranda
  10. Sula
  11. Sunndal
  12. Surnadal
  13. Sykkylven
  14. Tingvoll
  15. (Tustna -meunganishwa na Aure 1 Januari 2006)
  16. Ulstein
  17. Vanylven
  18. Vestnes
  19. Volda

Viungo vya Nje

hariri

62°30′00″N 07°10′00″E / 62.50000°N 7.16667°E / 62.50000; 7.16667


  Makala hii kuhusu maeneo ya Norwei bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Møre og Romsdal kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
  NODES