Maceió ni jina la mji mkuu wa jimbo la Alagoas katika Brazil. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2006, mji una wakazi wapatao 920,000 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 7 kutoka juu ya usawa wa bahari.

Mji wa Maceió







Maceió

Bendera
Majiranukta: 9°39′57″S 35°44′06″W / 9.66583°S 35.73500°W / -9.66583; -35.73500
Nchi Brazil
Kanda Northeast
Jimbo Alagoas
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 922,458
Tovuti:  www.maceio.al.gov.br

Viungo vya nje

hariri
 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu maeneo ya Brazil bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Maceió kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
  NODES