Mana Iwabuchi (alizaliwa 18 Machi 1993) ni mchezaji wa zamani wa mpira wa miguu nchini Japani. Mana alicheza kama kiungo mshambuliaji wa klabu ya Arsenal na hapo awali alichezea klabu ya Aston Villa, Bayern Munich, 1899 Hoffenheim pamoja na Tottenham Hotspur. Pia ameiwakilisha timu ya taifa ya wanawake ya Japani.[1][2][3]

Mana Iwabuchi

Marejeo

hariri
  1. "Mana Iwabuchi: Arsenal Women's Creative Genius". Breaking The Lines.
  2. Mana Iwabuchi : The Female Maradona (Part 1/3)
  3. "Interviews with Today's Pioneers: Mana Iwabuchi" (PDF). Global Kawasaki. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2021-04-17. Iliwekwa mnamo 2024-04-27. {{cite web}}: Unknown parameter |dead-url= ignored (|url-status= suggested) (help)
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mana Iwabuchi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
  NODES
mac 1
os 2
web 1