Mardin
Mardin (Kisyriaki:ܡܶܪܕܺܝܢ; inamaana ya "maboma") ni mji uliopo mjini kusini-mashariki mwa nchi ya Uturuki. Huu ni mji mkuu wa Jimbo la Mardin, unajulikana sana kwa ujenzi wake wa staili ya Kiarabu, na maeneo yake ya milima ya mawe inayoitazama Syria kwa upande wa kaskazini.[1] Mji wa Mardin una wakazi mchanganyiko, Waturuki, Wasyria, Waarabu na Wakurdi ambao wote wanawakilisha idadi kubwa ya watu.[2] Pia kuna idadi kiasi ya Waarmenia katika mji huu. Takriban watu 705,098 wanaoishi mjini hapa.
Mardin | |
Nchi | Uturuki |
---|---|
Mkoa | Kusini-mashariki mwa Anatolia |
Jimbo | Mardin |
Idadi ya wakazi (2000) | |
- Wakazi kwa ujumla | 705,098 |
Tovuti: http://www.mardin.bel.tr |
Maelezo
hariri- ↑ Mardin, Turkey, from planetware.com
- ↑ "Encyclopaedia of the Orient - Mardin". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2008-09-26. Iliwekwa mnamo 2009-06-15.
Marejeo
hariri- Tavernier, Jean-Baptiste (1692), Les six voyages, I:187
- Niebuhr, Carsten (1778), Reisebeschreibung, Copenhagen, II:391-8
- Socin, Albert (1904), Der Arabische Dialekt von Mōsul und Märdīn, Leipzig.
- della Valle, Pietro (1843), Viaggi, Brighton, I: 515
- Makas, Hugo (1926), Kurdische Texte im Kurmanji-Dialekte aus der Gegend von Mardin. Petersburg-Leningrad.
- Shumaysani, Hasan (1987), Madinat Mardin min al-fath al-'arabi ila sanat 1515. Bayrūt: 'Ālam al-kutub.
- Jastrow, Otto (1969), Arabische Textproben aus Mardin und Asex, in "Zeitschrift der Deutschen Morgenländischen Gesellschaft" (ZDMG) 119 : 29-59.
- Sasse, Hans-Jürgen (1971), Linguistische Analyse des Arabischen Dialekts der Mhallamīye in der Provinz Mardin (Südossttürkei), Berlin.
- Minorsky, V. (1991), Mārdīn, in "The Encyclopaedia of Islam". Leiden: E. J. Brill.
- Jastrow, Otto (1992), Lehrbuch der Turoyo-Sprache in "Semitica Viva – Series Didactica", Wiesbaden : Otto Harrassowitz.
- Ayliffe, Rosie, et al.. (2000) The Rough Guide to Turkey. London: Rough Guides.
- Wittich, Michaela (2001), Der arabische Dialekt von Azex, Wiesbaden: Harrassowitz.
- Grigore, George (2007), L'arabe parlé à Mardin. Monographie d'un parler arabe périphérique. Bucharest: Editura Universitatii din Bucuresti, ISBN (13) 978-973-737-249-9 [1] Ilihifadhiwa 27 Septemba 2007 kwenye Wayback Machine.
Viungo vya Nje
hariri- Governorship of Mardin Ilihifadhiwa 15 Juni 2012 kwenye Wayback Machine.
- Pictures of the city Ilihifadhiwa 24 Desemba 2008 kwenye Wayback Machine.
- News Portal of Mardin City Ilihifadhiwa 19 Julai 2010 kwenye Wayback Machine.
- Mardin Weather Forecast Information Ilihifadhiwa 6 Januari 2008 kwenye Wayback Machine.
- Mardin Guide and Photo Album
- First International Symposium of Mardin History Ilihifadhiwa 28 Septemba 2007 kwenye Wayback Machine.
- Istanbul'daki Mardinliler Egitim ve Dayanisma Vakfi
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mardin kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |