Mario wa Lausanne (Autun, leo nchini Ufaransa, 532 hivi - 31 Desemba 596) alifanywa askofu wa Avanches, leo nchini Uswisi, mwaka 574, lakini baadaye alihamisha makao makuu ya jimbo kwenda Lausanne[1].

Mbali ya kuandika historia [2][3], alijenga makanisa mengi [4] na kutetea fukara [5].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 31 Desemba[6].

Maandishi yake

hariri

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri
  1. Schlager, Patricius. "St. Marius Aventicus." The Catholic Encyclopedia Vol. 9. New York: Robert Appleton Company, 1910
  2. Henry Wace, A dictionary of Christian biography, literature, sects and doctrines.
  3. His chronicle has been frequently published: first by Pierre-François Chifflet in André Duchesne's Historiæ Francorum Scriptores, I (1636), 210–214; again by Migne in Patrologia Latina, LXXII, 793–802; in Monumenta Germaniae Historica, Auctores antiqui, XI (1893), 232–9 with an introduction by Theodor Mommsen; and by Justin Favrod with a French translation, La chronique de Marius d'Avenches (455–581) (Lausanne 1991).
  4. "Payerne", Historischen Lexikons der Schweiz (HLS)
  5. http://www.santiebeati.it/dettaglio/90606
  6. Martyrologium Romanum: ex Decreto Sacrosancti oecumenici Concilii Vaticani II instauratum auctoritate Ioannis Pauli P.P. II promulgatum, Romae 2001, ISBN 8820972107

Marejeo

hariri

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.
  NODES