Marx Brothers
Marx Brothers kilikuwa kikundi mashuhuri cha watu watano walio ndugu wachekeshaji wa katika makumbi, filamu na katika televisheni. Ndugu hao alikuwemo Chico, Harpo, Groucho, Gummo na Zeppo.
Marx Brothers walianza kama kundi la muziki, wakati wa maonyesho ya vaudeville (maonyesho ya vichekesho na sanaa katika maukumbi). Walikuwa wakifanyiana utani, kucheza sehemu za kuchekesha na kujifanya kama wanataka kupigana wakati wa maonyesho yao.
Wakiwa wnafanya maonysho yao huwa wanapata kupigiwa makofi na kufanya vizuri kuliko kazi yao rasmi ya muziki na baadaye likajakuwa kundi la vichekesho na muziki.
Viungo vya nje
hariri- Marx Brothers kwenye Internet Movie Database
- www.marx-brothers.org
- Marxology
- The Marx Brothers Museum
- Marx Brothers Night at the Opera Treasury Ilihifadhiwa 13 Mei 2004 kwenye Wayback Machine.
- Marx Brothers Forum Ilihifadhiwa 8 Julai 2008 kwenye Wayback Machine.
- Marx Brothers tribute page
- Review of Cocoanuts Ilihifadhiwa 10 Mei 2008 kwenye Wayback Machine.
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani wa Marekani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Marx Brothers kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |