Mary Agnes Chase

Mtaalam wa mimea, mkusanyaji wa mimea na mchoraji wa kisayansi wa Marekani (1869-1963)

Mary Agnes Chase (18691963) alikuwa mwanabotania (mtaalamu wa mimea) wa nchini Marekani aliyebobea katika kilimo na utafiti wa nyasi. Ingawa alikosa elimu rasmi kabla ya shule ya msingi, Chase aliweza kupanda ngazi na kuwa mtaalamu wa mimea katika idara ya kilimo ya Marekani.[1]

Mary Agnes Chase akiwa ameketi kwenye dawati na karatasi za herbarium, c.1960

Marejeo

hariri
  1. Madsen-Brooks, Leslie (2009). "Challenging Science As Usual: Women's Participation in American Natural History Museum Work, 1870–1950". Journal of Women's History. 21 (2): 11–38, 185. doi:10.1353/jowh.0.0076 – kutoka ProQuest 203248911.
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mary Agnes Chase kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
  NODES