Masta Killa
Elgin Turner (amezaliwa tar. 8 Agosti 1969) ni msanii wa muziki wa hip hop kutoka nchini Marekani. Anafahamika zaidi kwa jina lake la kisanii kama Masta Killa. Huyu ni mmoja kati ya wanaounda kundi zima la muziki wa hip hop la Wu-Tang Clan. Japokuwa yeye ni miongoni mwa wanachama ambao wanajulikana kidogo sana kundini (amepata kushirkishwa kwenye wimbo mmoja tu wa katika albamu yao ya kwanza ya mwaka wa 1993, Enter the Wu-Tang (36 Chambers)), kwa kufuatia kuwekwa kando kwenye matayarisha kibao ya albamu, amepata kushiriki kwenye kazi za albamu za kundi na za kujitegemea tangu katikati mwa miaka ya 1990, na kuweza kutoa albamu yake ya kwanza kunako mwaka wa 2004, No Said Date, na kupata tathmini nzuri na waainishaji wa muziki.
Masta Killa | |
---|---|
Masta Killa, mjini Paris
| |
Maelezo ya awali | |
Jina la kuzaliwa | Elgin Turner |
Pia anajulikana kama | MC Killa, Noodles, Jamal Irief |
Amezaliwa | 18 Agosti 1969 |
Asili yake | Brooklyn, New York City, New York |
Aina ya muziki | Hip hop |
Kazi yake | Rapa |
Miaka ya kazi | 1990–mpaka sasa |
Studio | Loud Records Nature Sounds |
Ame/Wameshirikiana na | Wu-Tang Clan |
Tovuti | mastakilla |
Diskografia
haririMwaka | Jina | Chati[1][2] | Matunukio ya RIAA[3] | ||
---|---|---|---|---|---|
U.S. Hot 100 | U.S. R&B | U.S. Rap | |||
2004 | No Said Date
|
136 | 31 | ||
2006 | Made in Brooklyn | 176 | 42 | 23 |
Marejeo
hariri- ↑ Billboard chartings. Accessed 29 Oktoba 2007.
- ↑ UK Album chartings. Accessed 10 Novemba 2007.
- ↑ Searchable Database. RIAA. Accessed 29 Oktoba 2007.
Viungo vya Nje
hariri- Masta Killa's Myspace
- Masta Killa Biography Ilihifadhiwa 2 Januari 2010 kwenye Wayback Machine.
Makala hii kuhusu mwanamuziki/wanamuziki fulani wa Marekani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Masta Killa kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |