Masvingo
Masvingo (mpaka mwaka 1982 Fort Victoria) ni mji wa Zimbabwe, makao makuu ya Mkoa wa Masvingo.
Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi walihesabiwa kuwa 90,286[1].
Tazama pia
haririTanbihi
haririMakala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Masvingo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |