Mel Columcille Gerard Gibson (amezaliwa tar. 3 Januari 1956) ni mzaliwa wa Marekani-mwigizaji wa filamu, mwongozaji na pia mtayarishaji. Gibson alihamia Australia akiwa na umri wa miaka 12 na baadaye alisomea maswala ya uigizaji katika Taasisi ya Sanaa na Maigizo ya Taifa (kwa Kiing.: National Institute of Dramatic Art) iliyopo mjini Sydney, Australia.

Mel Gibson
Mel Gibson kwenye 2011 Cannes Film Festival
Mel Gibson kwenye 2011 Cannes Film Festival
Jina la kuzaliwa Mel Columcille Gerard Gibson
Alizaliwa 3 Januari 1956
Marekani
Kazi yake Mwigizaji
Mwongozaji
Mtaarishaji
Miaka ya kazi 1976 - hadi leo
Ndoa Robyn Moore Gibson
(1980–2011)
Watoto Hannah (b. 1980)[1]

Edward (b.1982)
Christian (b.1982)
William (b. 1985)
Louis (b.1988)
Milo (b. 1990)
Thomas (b. 1999)
Lucia (b. 2009)[2]

Wazazi Hutton Gibson
Anne Patricia

Gibson baada ya kujiimarisha mwenyewe kama jina la mwenye kijiji katika mfululizo wa filamu ya Mad Max na Lethal Weapon. Gibson vile vile alikwenda kushiriki katika ugawaji wa tuzo ya Oscars na akabahatika kuwa mshindi wa tuzo hiyo kama mwigizaji na mwongozaji bora wa filamu (filamu ilikuwa: Braveheart).

Kuongoza kwake filamu ya Braveheart kume mfanya awe nyota wa sita wa filamu aliegeuka kuwa mtengenezaji wa filamu kwa kupokea tuzo ya Oscar kama mwongozaji bora. Mnamo mwaka 2004, aliongoza na kuitaarisha filamu ya The Passion of the Christ, filamu yenye mafanikio makubwa, iliyoonyesha saa na maisha ya mwisho ya Yesu. Gibson ni Ofisa mwamrishi wa Australia na vile vile alipewa cheo na gazeti la Forbes (Forbes magazine) kwa kuwa kama mmoja wa watu mashuhuri wenye nguvu duniani mnamo mwaka 2004.

Filamu alizoigiza/Kuongoza na kutunga

hariri
  • Mad Max (1979)
  • Mad Max 2 (1981)
  • Gallipoli (1981 film)Gallipoli (1981)
  • The Year of Living Dangerously (1982)
  • The Bounty (1984)
  • Mrs. Soffel (1984)
  • Mad Max Beyond Thunderdome (1985)
  • Lethal Weapon (1987)
  • Tequila Sunrise (film)Tequila Sunrise (1988)
  • Lethal Weapon 2 (1989)
  • Hamlet (1990 film)Hamlet (1990)
  • Air America (film)Air America (1990)
  • Bird on a Wire (film)Bird on a Wire (1990)
  • Forever Young (1991)
  • Lethal Weapon 3 (1992)
  • Maverick (film)Maverick (1994)
  • Ransom (film)Ransom (1996)
  • Conspiracy Theory (1997)
  • Lethal Weapon 4 (1998)
  • Payback (film)Payback (1999)
  • Chicken Run (2000)
  • The Patriot (2000 film)The Patriot (2000)
  • What Women Want (2000)
  • We Were Soldiers (2002)
  • Signs (film)Signs (2002)

Kama mwigizaji/ mwongozaji

hariri
  • The Man Without a Face (1993)
  • Braveheart (1995)

Kama mwongozaji na mtunzi-mshiriki

hariri
  • The Passion of the Christ (2004)
  • Apocalypto (2006)

Kama nyota mwalikwa

hariri
  • The Simpsons (1999)

Marejeo

hariri
  1. "Mel Gibson Welcomes Third Grandchild", US Weekly, 14 Machi 2011. Retrieved 7 Oktoba 2012. Excerpt: "Gibson's daughter Hannah, 30, gave birth to a baby boy..."
  2. "Mel Gibson names new daughter Lucia", ABC News Online, 3 Novemba 2009. Retrieved 9 Oktoba 2012.
  1. http://www.filmsite.org/aa95.html
  2. http://boxofficemojo.com/movies/?id=passionofthechrist.htm
  3. http://money.cnn.com/2004/06/17/news/newsmakers/forbes_stars/index.htm
  4. http://www.wargs.com/other/gibson.html

Viungo vya Nje

hariri
 
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mel Gibson kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
  NODES
INTERN 1
Project 1