Meza (samani)
Meza (kutoka Kireno na kwa asili zaidi kutoka Kilatini "mensa") ni kipande cha samani. Tunaweka vitu juu ya meza, mara kwa mara na kwa muda mfupi, kwa mfano chakula, visu, vikombe vya vinywaji, kitabu, ramani, karatasi wakati wa kuandika, na vitu kwa ajili ya kujifurahisha n.k.
Pia tunaweza kuviweka vitu mezani kwa muda mrefu, kwa mfano televisheni,kompyuta,spika, deki, cd n.k.
Meza za zamani za Japani zinaitwa "chabudai" ambazo zilitumika kunywea chai na chakula.
Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Meza (samani) kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |