Michael Douglas
Michael Kirk Douglas (amezaliwa tar. 25 Septemba 1944) ni mwigizaji na mtayarishaji filamu wa Kimarekani. Douglas alianza kufahamika zaidi baada ya kuigiza kama Insp. Steve Keller kutoka katika tamthilia ya Streets of San Francisco iliyokuwa inaonyeshwa katika miaka ya 1970. Douglas, baadae akaja kuwa miongoni mwa waigizaji filamu wakubwa kabisa duniani na akabahatika kushinda tuzo ya Academy mnamo mwaka wa 1987 kwa kuigiza filamu ya Wall Street kama mwigizaji bora wa filamu hiyo.
Michael Douglas | |
---|---|
| |
Jina la kuzaliwa | Michael Kirk Douglas |
Alizaliwa | 25 Septemba 1944 Marekani |
Kazi yake | Mwigizaji Mtayarishaji |
Ndoa | Diandra Luker (1977-2000)
Catherine Zeta Jones (2000-) |
Watoto | 3, akiwemo na Cameron Douglas |
Wazazi | Kirk Douglas Diana Dill |
Vilevile Douglas amewahi kuigiza mafilamu mengi tu yenye mafanikio makubwa kabisa. Filamu hizo kama vile Fatal Attraction na Basic Instinct. Douglas ni mtoto wa gwiji la uigizaji duniani bwana Kirk Douglas, na ni mume wa mwigizaji mashughuri Bi. Catherine Zeta-Jones.
Maisha ya awali
haririFilamu alizoigiza
haririMwaka | Jina la filamu | Jina alilotumia | Maelezo |
---|---|---|---|
1966 | Cast a Giant Shadow | Jeep driver | sehemu ndogo |
1969 | Hail, Hero! | Carl Dixon | |
1970 | Adam at Six A.M. | Adam Gaines | |
1971 | Summertree | Jerry | |
1972 | Napoleon and Samantha | Danny | |
1975 | One Flew Over the Cuckoo's Nest | Producer (Academy Award) | |
1978 | Coma | Dr. Mark Bellows | |
1979 | Running | Michael Andropolis | |
The China Syndrome | Richard Adams | (mwigizaji/mtayarishaji) | |
1980 | It's My Turn | Ben Lewin | |
1983 | The Star Chamber | Superior Court Judge Steven R. Hardin | |
1984 | Romancing the Stone | Jack Colton | (mwigizaji/mtayarishaji) |
1985 | A Chorus Line | Zach | |
The Jewel of the Nile | Jack Colton | (mwigizaji/mtayarishaji) | |
1987 | Wall Street | Gordon Gekko | Tuzo ya Academy kwa ajili ya mwigizaji bora wa filmu |
Fatal Attraction | Dan Gallagher | ||
1989 | The War of the Roses | Oliver Rose | |
Black Rain | Det. Sgt. Nick Conklin | ||
1992 | Basic Instinct | Nick Curran | |
Shining Through | Ed Leland | ||
Oliver Stone: Inside Out | Yeye mwenyewe | ( hadithi za maisha) | |
1993 | Falling Down | William "D-Fens" Foster | |
1994 | Disclosure | Tom Sanders | |
1995 | The American President | President Andrew Shepherd | |
1996 | The Ghost and the Darkness | Charles Remington | (mwigizaji/mtayarishaji mkuu) |
1997 | The Game | Nicholas van Orton | |
1998 | A Perfect Murder | Steven Taylor | |
1999 | One Day in Septemba | Narrator | ( hadithi za maisha) |
Get Bruce | Yeye mwenyewe | ( hadithi za maisha) | |
2000 | Traffic | Robert Wakefield | |
Wonder Boys | Professor Grady Tripp | ||
2001 | Don't Say a Word | Dr. Nathan R. Conrad | |
In Search of Peace | Narrator | ( hadithi za maisha) | |
One Night at McCool's | Mr. Burmeister | (mwigizaji/mtayarishaji) | |
2003 | The In-Laws | Steve Tobias | |
It Runs in the Family | Alex Gromberg | ||
Direct Order | Narrator | ( hadithi za maisha) | |
2004 | The Beautiful Country | Man on TV | Footage from Wall Street. |
Tell Them Who You Are | Yeye mwenyewe | ( hadithi za maisha) | |
2006 | Racing the Monsoon | Halijulikani | (ishatangazwa)(mtayarishaji mshiriki) |
You, Me and Dupree | Mr. Thompson | ||
The Sentinel | Pete Garrison | (mwigizaji/mtayarishaji) | |
2007 | The Mechanic | Kevin Bishop | (ishatangazwa) |
The Ride Down Mt. Morgan | Lyman Felt | (inamaliziwa) | |
Smoke & Mirrors | Jean Robert-Houdin | (ishatangazwa) | |
King of California | Charlie | (wanaunda kasha yake) | |
Money Never Sleeps | Gordon Gekko | (iko katika matengezo) |
Marejeo
haririViungo vya nje
hariri- Michael Douglas katika Internet Broadway Database
- Michael Douglas at the Internet Movie Database
- Michael Douglas katika TCM Movie Database
- Michael Douglas katika Yahoo! Movies
- Michael Douglas katika TV.com
- Michael Douglas Ilihifadhiwa 21 Agosti 2008 kwenye Wayback Machine. Tovuti siyo rasmi ya Mashabiki
- Michael Douglas Ilihifadhiwa 2 Aprili 2001 kwenye Wayback Machine. Personal Documents Archive at the Wisconsin Historical Society