Mkoa wa Zaragoza
Zaragoza ni moja ya mikoa 52 ya kujitawala ya Hispania.
Mkoa wa Zaragoza | |||
Mahali pa Mkoa wa Zaragoza katika Hispania | |||
| |||
Nchi | Hispania | ||
---|---|---|---|
Jimbo | Aragón | ||
Mji mkuu | Zaragoza | ||
Eneo | |||
- Jumla | 17,274 km² | ||
Tovuti: http://www.dpz.es/ |
Idadi ya wakazi wake ni takriban 970,313.
Mji wake mkuu ni Zaragoza.
Tazama pia
haririViungo vya nje
haririWikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu maeneo ya Hispania bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Zaragoza kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |