Mlima Fuji ni mlima wa volikano wenye kimo cha m 3,776 juu ya usawa wa bahari.

Mlima Fuji, Japan, unaonekana kutoka Oshino Hakkai

Uko kwenye kisiwa kikuu cha Honshu nchini Japani na unavuta watalii wengi. Ndio mrefu kuliko yote ya nchi hiyo.

Tazama pia

hariri
  Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mlima Fuji kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
  NODES
os 2