Mteja (wakati mwingine hujulikana kama mnunuzi) katika mauzo, biashara na uchumi, ndiye mpokeaji wa huduma, bidhaa, au wazo kutoka kwa muuzaji kupitia shughuli ya kifedha au ubadilishaji kwa pesa au jambo lingine muhimu.

Mteja akinywa maji ya nazi (dafu).

Marejeo

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mteja kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
  NODES