Muğla
Muğla ni jina la mji uliopo nchini Uturuki. Huu ni mji mkuu wa Jimbo la Muğla, ambayo imekuja hadi katika pwani ya Bahari ya Aegean upande wa kusini-magharibi mwa nchi. Mji upo m 660 kutoka juu ya usawa wa bahari.
Muğla | |
Nchi | Uturuki |
---|---|
Mkoa | Aegean |
Jimbo | Muğla |
Idadi ya wakazi (2000) | |
- Wakazi kwa ujumla | 83,511 |
Tovuti: www.mugla.gov.tr |
Marejeo
haririViungo vya Nje
hariri- Governor's Office
- the Municipality
- local information Archived 29 Septemba 2010 at the Wayback Machine. (Kituruki)
- Mugla guide
- Photographs and information about Muğla, Turkey guide
- Pictures of the city
- Mugla- Akyaka beaches Archived 11 Mei 2020 at the Wayback Machine.
Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Muğla kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |