Nice
Nice ni mji wa Ufaransa kusini, katika mkoa wa Provence-Alpes-Côte d'Azur. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2008, mji una wakazi wapatao 970,000 wanaoishi katika mji huu. Mji upo mita 0-520 juu ya usawa wa bahari.
Nice | |
Mahali pa mji wa Nice katika Ufaransa |
|
Majiranukta: 43°42′12″N 7°15′59″E / 43.70333°N 7.26639°E | |
Nchi | Ufaransa |
---|---|
Mkoa | Provence-Alpes-Côte d'Azur |
Wilaya | Alpes-Maritimes |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 347,060 |
Tovuti: www.nice.fr |
Tazama pia
haririViungo vya nje
hariri- (Kiingereza) & (Kifaransa) Team Côte d'Azur The Economic development agency
- (Kiingereza) & (Kifaransa) NiceRendezVous official site
- (Kiingereza) & (Kifaransa) Nice Carnaval
- (Kiingereza) & (Kifaransa) Dances and traditional musics from Nice
- Nice travel guide kutoka Wikisafiri
- (Kifaransa) Nice official site
- Pictures from Nice's Promenade des Anglais
Makala hii kuhusu maeneo ya Ufaransa bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Nice kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |