Nikola Tesla (10 Julai 18567 Januari 1943; Kiserbokroatia: Никола Тесла) alikuwa mhandisi na mwanafizikia kutoka milki ya Austria-Hungaria aliyehamia baadaye Marekani.

Nikola Tesla
Nikola Tesla
Nikola Tesla
Alizaliwa 10 Julai 1856 Austria-Hungaria
Alikufa 7 Januari 1943 New York
Nchi Austria-Hungaria, Marekani
Kazi yake mhandisi na mwanafizikia
Nyumba alikozaliwa Tesla

Tesla alizaliwa katika familia ya Kiserbia, alisoma uhandisi akajishughulisha hasa na umeme na sumakuumeme.

Mwaka 1884 alihamia Marekani alipoajiriwa na Thomas Edison lakini baadaye alitoka katika kampuni yake.

Kati ya mengi aliyobuni au aliyochangia kuna

Viungo vya Nje

hariri
  NODES