Obisi
Obisi (kwa Kiitalia: Obizio au Obizzo; Niardo, Lombardia, Italia, 1150 hivi - Brescia, 6 Desemba 1204) alikuwa kabaila[1] Mkristo aliyeishi miaka mingi katika ndoa na kuzaa watoto 4, lakini baada ya kujeruhiwa vitani (1191) aliongoka na kushika toba, akitumia mali yake kusaidia maskini.
Kisha kuacha familia yake aende kuishi upwekeni, hatimaye (1197) alikubaliwa kuhamia monasterini alipoishi miaka 7 ya mwisho ya maisha yake [2].
Tazama pia
haririTanbihi
hariri- ↑ Lino Ertani, La Valle Camonica attraverso la storia, p. 241
- ↑ http://www.santiebeati.it/dettaglio/90064
- ↑ Martyrologium Romanum
Viungo vya nje
hariri- Obitius Ilihifadhiwa 16 Julai 2011 kwenye Wayback Machine.
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |