Oda
Oda ni ngazi katika uainishaji wa kisayansi wa viumbehai. Oda ya wanyama au mimea hujumlisha familia mbalimbali zilizo karibu.
Kwa mfano familia ya Felidae (wanyama wanaofana na paka) ni sehemu ya oda ya Carnivora yaani wanyama walanyama.
Makala hii kuhusu mambo ya biolojia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Oda kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |