Otto Neurath (10 Desemba 1882 - 22 Desemba 1945) alikuwa mwanafalsafa, mwanafalsafa wa sayansi, mwanasosholojia, na mwanauchumi wa kisiasa wa Austria.

Otto Neurath

Kabla ya kukimbia nchi yake ya asili mwaka 1934, Neurath alikuwa mmoja wa viongozi wa Circle ya Vienna.

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Otto Neurath kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
  NODES