Pablo Zabaleta (alizaliwa tarehe 16 Januari 1985) ni mchezaji mwenye asili ya Argentina anayecheza kama beki wa kushoto katika klabu ya West Ham United iliyopo nchini uingereza.

Pablo Zabaleta (2019)

Pia Zabaleta alizichezea timu nyingi za Uingereza kama vile Manchester City na pia aliisaidia timu hiyo kuchukua makombe kama vile FA Cup (2011), Premier league (mwaka 2012, 2014) na alichezea timu ya Hispania iitwayo RCD Espanyol na aliisaidia kuchukua kombe la Copa Del Rey mwaka 2004-2005 na aliiwakilisha timu yake ya taifa ya Argentina mwaka 2011 na 2015 katika kombe la Copa America.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Pablo Zabaleta kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
  NODES