Papa Hormisdas alikuwa Papa kuanzia tarehe 20 Julai 514 hadi kifo chake tarehe 6 Agosti 523[1].

Mt. Hormisdas.

Alimfuata Papa Simako akafuatwa na Papa Yohane I.

Alipochaguliwa alikuwa shemasi mjane; kutokana na ndoa yake alikuwa na mwana aliyekuja kuwa Papa Silverio baadaye.

Mjumbe wa amani katika Kanisa la Magharibi na Kanisa la Mashariki vilevile, alipatanisha waliokuwa wafuasi wa antipapa Laurentius[2] akafaulu pia kumaliza farakano lililoanzishwa na Patriarki Acacius wa Konstantinopoli (484-519)[3] na kufanya waliovamia Ulaya Magharibi waheshimu haki za Kanisa [4].

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 6 Agosti[5].

Tazama pia

hariri

Maandishi yake

hariri

Tanbihi

hariri
  1. https://www.vatican.va/content/vatican/en/holy-father.index.html#holy-father
  2. Richards, Popes and the Papacy, p. 100
  3. On 28 March 519, the reunion between Constantinople and Rome was ratified in the cathedral of Constantinople before a large crowd.
  4. https://www.santiebeati.it/dettaglio/65360
  5. Martyrologium Romanum

Vyanzo

hariri
  • Meyendorff, John (1989). Imperial unity and Christian divisions: The Church 450–680 A.D. The Church in history. Juz. la 2. Crestwood, NY: St. Vladimir's Seminary Press. ISBN 978-0-88-141056-3.
  • "ORMISDA". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-04-12. Iliwekwa mnamo 7 Februari 2019. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link)

Viungo vya nje

hariri
 
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Hormisdas kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.
  NODES
mac 4
os 2
web 1