Papa Paulo II
Papa Paulo II (23 Februari 1417 – 26 Julai 1471) alikuwa Papa kuanzia tarehe 30 Agosti/16 Septemba 1464 hadi kifo chake[1]. Alitokea Venezia, Italia[2].
Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Pietro Barbo.
Alimfuata Papa Pius II akafuatwa na Papa Sixtus IV.
Tazama pia
haririTanbihi
haririViungo vya nje
haririMakala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Paulo II kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |