Papa Yohane XIII alikuwa Papa kuanzia tarehe 1 Oktoba 965 hadi kifo chake tarehe 6 Septemba 972[1]. Alitokea Roma, Lazio, Italia[2].

Papa Yohane XIII.

Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Yohane Crescenzi.

Alimfuata Papa Leo VIII akafuatwa na Papa Benedikto VI.

Tazama pia

hariri

Maandishi yake

hariri

Tanbihi

hariri

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Yohane XIII kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.
  NODES