Pep Guardiola
Josep "Pep" Guardiola Sala, (amezaliwa 18 January 1971 [1]) ni meneja wa soka la kulipwa,Raia wa Uhispania na mchezaji wa mpira wa miguu wa zamani, ambaye ni meneja wa klabu ya Manchester City tangu 2016. Anachukuliwa kuwa mmoja wa wasimamizi muhimu katika historia ya soka. [2] Na anashikilia rekodi za mechi nyingi mfululizo za ligi alizoshinda kwenye La Liga akiwa na klabu ya Barcelona F.C.[3]
Guardiola alikuwa kiungo mkabaji. Alitumia muda mwingi wa maisha yake akiwa na Barcelona,Pia alikuwa sehemu ya timu ya Johan Cruyff iliyoshinda kombe la kwanza la klabu bingwa Ulaya mwaka 1992 [4]. na kushinda makombe manne mfululizo katika ligi kuu ya Uhispania (1991-1994).Alikuwa nahodha wa timu kutoka mwaka 1997 hadi 2001 alipoondoka katika klabu hiyo.Guardiola aliwahi kucheza Brescia na Roma nchini Italia, Al-Ahli ya Qatar, na Dorados de Sinaloa ya Mexico.Alicheza mara 47 akiwa kama nahodha wa timu ya taifa ya Uhispania , na alicheza kwenye Kombe la Dunia la FIFA la mwaka 1994, na vile vile kwenye UEFA Euro ya mwaka 2000.
Marejeo
hariri- ↑ "Pep Guardiola". fcbayern.de. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 17 Mei 2014. Iliwekwa mnamo 16 Mei 2014.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Mark, Lomas (5 Agosti 2013). "Greatest Managers, No. 18: Pep Guardiola". ESPNFC. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 23 Januari 2018. Iliwekwa mnamo 29 Desemba 2014.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Man City fail to match Bayern for longest winning run in Europe's top 5 leagues". ESPN. 31 Desemba 2017. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 3 Januari 2018. Iliwekwa mnamo 4 Januari 2018.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Josep Guardiola – The Boy from Santpedor". spain-football.org. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 10 Januari 2013. Iliwekwa mnamo 16 Januari 2013.
{{cite web}}
: More than one of|accessdate=
na|access-date=
specified (help); More than one of|archivedate=
na|archive-date=
specified (help); More than one of|archiveurl=
na|archive-url=
specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Pep Guardiola kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |