Piteå ni mji na manispaa nchini Norrbotten, Uswidi. Kuna wakazi 22,650 (mwaka 2005). Mji ulianzishwa 1621.

Moja ya viwanja viwili katika Mji wa Piteå


Piteå ina shule inayojulikana music. Framnäs Folkhögskola ni katika Öjebyn, nje Piteå.

Jiografia

hariri

Eneo lake ni 24.87 km². Iko kando ya Bahari ya Baltiki.

Watu kutoka Piteå

hariri


Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu maeneo ya Uswidi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Piteå kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
  NODES