Robert Christgau (amezaliwa tar. 18 Aprili 1942) ni mwandishi wa habari na mchambuzi/mhakiki wa kazi za muziki kutoka nchini Marekani. Anajiita mwenyewe kama "Dean of American Rock Critics".[1]

Robert Christgau akiwa mkutanoni mnamo 2006 huko mjini Seattle

Marejeo

hariri
  1. Jody Rosen (5 Septemba 2006). The Village Voice fires a famous music critic. Slate. Accessed 25 Julai 2008.

Viungo vya Nje

hariri
 
WikiMedia Commons
  Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Robert Christgau kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
  NODES