Rory McIlroy (amezaliwa 4 Mei 1989) ni mchezaji wa golf kutoka nchi ya Northern Ireland. Mwaka wa 2007 alianza kucheza golf kikazi.

Rory McIlroy
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Rory McIlroy kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
  NODES