Roselina (126317 Januari 1329) alikuwa kiongozi wa monasteri ya Kikartusi ya Celle-Roubaud, karibu na Fréjus, mkoa wa Provence, leo nchini Ufaransa, aliyeng’aa kwa kujinyima, kufunga chakula, kukesha na kushika maisha magumu kwa jumla[1].

Mt. Roseline de Villeneuve na baba yake.

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.

Sikukuu yake inaadhimishwa katika tarehe ya kifo chake[2][3].

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri

Viungo vya nje

hariri
  NODES