Rosenborg Ballklub

Rosenborg Ballklub (kifupisho: RBK) ni klabu ya kandanda kutoka mji wa Trondheim, Norwei. Inacheza katika Ligi Kuu ya Norwei. Klabu iliundwa mwaka 1917.

Rosenborg Ballklub
Rangi nyumbani
Rangi za safari
Rosenborg akicheza na Real Madrid michuano ya UEFA Champions ndani ya uwanja wa Trofeo Santiago Bernabéu huko Estadio Santiago Bernabéu mnamo 2009

Lerkendal Stadion

hariri

Lerkendal ni Uwanja wa mpira wa miguu huko Trondheim, Norwei. Ni uwanja wa nyumbani kwa Rosenborg BK. Unapokea watazamaji 21,116, na hivi ni wa pili kwa ukubwa nchini humo.

  • Ligi Kuu ya Norwei:
    • Washindi (26): 1967, 1969, 1971, 1985, 1988, 1990, 1992, 1993, 1994, 1995, 1996, 1997, 1998, 1999, 2000, 2001, 2002, 2003, 2004, 2006, 2009, 2010, 2015, 2016, 2017, 2018
    • Wa pili (5): 1968, 1970, 1973, 1989, 1991
  • Kombe la soka la Norwei:
    • Washindi (12): 1960, 1964, 1971, 1988, 1990, 1992, 1995, 1999, 2003, 2015, 2016, 2018
    • wa pili (5): 1967, 1972, 1973, 1991, 1998

Marejeo

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Rosenborg Ballklub kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Viungo vya nje

hariri
  NODES