Sharjah
Sharjah (Kiar.: الشارقة ash-shaariqah) ni jina la emirati katika shirikisho la Falme za Kiarabu na pia jina la mji mkuu wa emirati hii.
Ina wakazi 636,000 kwenye eneo la 2,600 km² mwambanoni wa Ghuba ya Uajemi.
Jiografia
haririSharjah ni utemi mkubwa wa tatu kati ya Falme za Kiarabu. Inatawaliwa na Sheikh Dr. Sultan al-Qasimi.
Mji wa Sharja ina wakazi 519,000 (2003 sensa). Iko karibu na miji ya Ajman na Dubai na yote mitatu imekuwa sasa rundiko la jiji.
Viungo vya nje
hariri- Sharjah Commerce and Tourism Development Authority Ilihifadhiwa 15 Machi 2015 kwenye Wayback Machine.
- Sharjah Police
- WorldStatesmen
- History of Kalba at uaeinteract.com Ilihifadhiwa 23 Mei 2006 kwenye Wayback Machine.
- The Dawoodi Bohras in Sharjah Ilihifadhiwa 5 Desemba 2006 kwenye Wayback Machine.
Magazeti za Falme za Kiarabu
hariri- Gulf News
- Khaleej Times
- Emirates Today
- 7 Days Ilihifadhiwa 27 Septemba 2007 kwenye Wayback Machine.
- Gulf Today Ilihifadhiwa 24 Agosti 2007 kwenye Wayback Machine.
- Emirates Evening Post Ilihifadhiwa 7 Januari 2007 kwenye Wayback Machine.