Shebeli (pia: Shabelle, Scebelli, Shabell, Shebele) ni tawimto la mto Juba linalobeba maji yake kutoka nyanda za juu za Ethiopia kuelekea Bahari ya Uhindi ingawa mara nyingi inakauka katika jangwa la Somalia kabla ya kufikia mdomo wake.

Ramni inayoonyesha Mto Shebeli

Chanzo cha Shebeli kiko katika milima ya Batu (Ethiopia) takriban km 200 kusini kwa Addis Ababa.

Baada ya mwendo wa km 920 mto unaingia Somalia ikielekea Mogadishu. Karibu na mji unageukia kusini-magharibi na kufuata mstari wa pwani ya Bahari Hindi kwa umbali wa km 20-40 ndani ya bara.

Baada ya mwendo wa km 900 ndani ya Somalia lalio lake linaingia katika mto Juba lakini baada ya Mogadishu Shebeli ni kavu kwa sehemu kubwa ya mwaka.

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri

Kigezo:Mito ya Somalia

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Shebeli kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
  NODES
mac 2