Somerset Island (Nunavut)

Somerset Island (Nunavut) ni kisiwa kikubwa cha eneo la kaskazini mwa Nunavut (Kanada).

Kisiwa cha Somerset(Nunavut)

Kinapatikana katika Bahari ya Aktiki kikiwa na ukubwa wa kilometa mraba 24,786, ila hakina wakazi.

Tazama pia

hariri
  Makala hii kuhusu maeneo ya Kanada bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Somerset Island (Nunavut) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
  NODES
Done 1