Sonya Belousova

Mtunzi, mpiga kinanda na msanii mzaliwa wa Urusi

Sonya Belousova ( 4 Februari, 1990) Mtunzi wa filamu, mpiga kinanda na msanii mwenye asili ya Urusi ambaye anaishi katika mji wa Los Angeles, California nchini Marekani. Belousova ni mshindi wa kimataifa wa utungaji katika mashindano ya piano.[1] Alitambuliwa kama prodigy akiwa mtoto, akiwa na umri wa miaka 13. Belousova alipata tuzo ya utungaji bora wa muziki.[2][3]

Belousova akitumbuiza vipande vya piano na mshindi wa Tuzo ya Grammy Jorge Calandrelli kwenye Tuzo za Alama za Dhahabu za 2014
Belousova akitumbuiza vipande vya piano na mshindi wa Tuzo ya Grammy Jorge Calandrelli kwenye Tuzo za Alama za Dhahabu za 2014

Tanbihi

hariri
  1. "Sonya Belousova — Official website". SonyaBelousova.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-08-10. Iliwekwa mnamo 2015-10-15. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help)
  2. "Достижения". Санкт-Петербургская детская музыкальная школа № 11 (kwa Kirusi). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-01-05. Iliwekwa mnamo 2015-10-14. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help)
  3. "YouTube's Player Piano Turns Gaming Tunes Into Fantasy Videos". Classical 101. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-01-05. Iliwekwa mnamo 2015-10-15. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help)
  Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sonya Belousova kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
  NODES
os 2
web 4