Stranger in Moscow

"Stranger in Moscow" ni single ya tano na ya mwisho kutoka katika albamu ya Michael Jackson ya HIStory. Wimbo huu ulikuja kutolewa dunia nzima kunako mwezi wa Novemba katika mwaka wa 1996, lakini ukawa haujatolewa nchini Marekani hadi hapo ilipofika mwezi wa Agosti katika mwaka wa 1997. Wimbo huu ulitungwa na Jackson mnamo mwaka wa 1993, wakati wa kilele cha kashfa na shutuma za udhalilishaji wa watoto ambayo yaliyomkumba mnamo mwaka huo, akiwa kwenye ziara yake kule mjini Moscow. Katika wimbo huu, Jackson anaimba kwa huzuni mkubwa kabisa na kudai hadhi yake imemwacha mpweke, katengwa, kuvurugwa na kuchanganyikiwa kabisa.

“Stranger in Moscow”
“Stranger in Moscow” cover
Single ya Michael Jackson
kutoka katika albamu ya HIStory - Past, Present and Future, Book I
Imetolewa 4 Novemba 1996 (dunia nzima)
Agosti 1997 (US)
Muundo CD single
Imerekodiwa 1993
Aina R&B
Urefu 5:44 (Album Version)
4:10 (Radio Edit)
Studio Epic Records
Mtunzi Michael Jackson
Mtayarishaji Michael Jackson
Mwenendo wa single za Michael Jackson
"They Don't Care About Us"
(1996)
"Stranger in Moscow"
(1996)
"Blood on the Dance Floor"
(1997)
Chati (1996) Nafasi
iliyoshika
Australia 14
Austria 7
Belgium (Vl) 25
Belgium (Wa) 21
Netherlands 4
Finland 14
France 18
New Zealand 6 [1]
Italy 8
Spain 1
Sweden 21
Swiss Singles Chart 5[2]
UK 4 [3]
U.S. Billboard Hot 100 91 [4]
Chati (2009) Nafasi
iliyoshika
Swiss Singles Chart 75[2]
UK Singles Chart 91[5]

Orodha ya nyimbo

hariri

U.S. Single

  1. Stranger In Moscow - 5:37
  2. Stranger In Moscow (Hani's Extended Chilli Hop Mix) - 6:05
  3. Stranger In Moscow (Hani's Num Radio Mix) - 10:19
  4. Stranger In Moscow (Basement Boys' Radio Mix) - 4:05
  5. Stranger In Moscow (Spensane Vocal Mix) [R&B] - 4:47
  6. Stranger In Moscow (12" Dance Club Mix) - 8:18

Austrian Single

  1. Stranger In Moscow - 5:37
  2. Stranger In Moscow (Charles Roane's Full R&B Mix) - 4:30
  3. Stranger In Moscow (Tee's In-House Club Mix) - 6:54
  4. Stranger In Moscow (Tee's Light AC Mix) - 4:07
  5. Stranger In Moscow (Tee's Freeze Radio Mix) - 3:36
  6. Off The Wall (Junior Vasquez Radio Mix) - 5:15

Tanbihi

hariri
  1. "M. Jackson - Stranger In Moscow (nummer)". www.ultratop.be. Iliwekwa mnamo 2008-09-14.
  2. 2.0 2.1 "Swiss Singles Chart Archives". hitparade.ch. Iliwekwa mnamo 18 Julai 2009.
  3. George, Nelson (2004). Michael Jackson: The Ultimate Collection booklet p, 48–50. Sony BMG.
  4. "Artist Chart History - Michael Jackson". Billboard. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2008-02-02. Iliwekwa mnamo 2008-11-05. {{cite web}}: Italic or bold markup not allowed in: |publisher= (help)
  5. "UK Singles Chart". The Official UK Charts Company. Iliwekwa mnamo 6 Julai 2009.

Marejeo

hariri


  Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Stranger in Moscow kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
  NODES
chat 4