Sunday Afolabi (mwanasoka)

Sunday Kolawole Afolabi (alizaliwa 10 Julai 1999) ni mchezaji wa soka wa Nigeria anayecheza kama kiungo wa kati katika klabu ya Perak F.C. katika ligi kuu ya Malaysia, Malaysia Super League].

Mafanikio

hariri
  • Fallon d'Floor: 2022[1]

Marejeo

hariri
  1. "Perak's Afolabi wins 'Fallon d'Floor' award". NST. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 29 Desemba 2022. Iliwekwa mnamo 28 Desemba 2022.
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sunday Afolabi (mwanasoka) kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
  NODES