Tangerang (kwa Kiindonesia: Kota Tangerang) ni mji kubwa wa Indonesia. Ukubwa wa eneo lake ni 164.54 km². Idadi ya wakazi wake imekadiriwa kuwa 1,537,244 (mwaka wa 2005).

Eneo la Kawasan Pabrik katika Mji wa Tangerang


Jiji la Tangerang
Nchi Indonesia
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 1 537 244
Tovuti:  www.tangerangkota.go.id
Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Tangerang kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  NODES