Thrakia (kwa Kigiriki Θράκη, Thráki; kwa Kituruki Trakya) ni eneo la kijiografia na kihistoria katika Ulaya ya Kusini-Mashariki, ambalo limegawanyika sasa kati ya Bulgaria, Ugiriki, na Uturuki. Imepakana na Milima ya Balkani upande wa kaskazini, Bahari ya Aegean upande wa kusini, na Bahari Nyeusi upande wa mashariki. Inajumuisha kusini mashariki mwa Bulgaria ( Thrakia ya Kaskazini ), kaskazini mashariki mwa Ugiriki (Thrakia ya Magharibi ), na sehemu ya Uturuki iliyopo Ulaya (Thrakia ya Mashariki ). Mipaka ya eneo hilo inalingana na jimbo la Kiroma la Trakia.

Mipaka ya kisasa ya Thrakia huko Bulgaria, Ugiriki, na Uturuki.
Mipaka ya kijiografia ya Thrakia: Milima ya Balkani, Milima ya Rhodope na Bosporus. Mlima wa Rhodope umeangaziwa.
Jimbo la Thrakia katika Bizanti.

Viungo vya nje

hariri
 
WikiMedia Commons
  Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Thrakia kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
  NODES