Tikisa
Tikisa-majumba (Motacilla aguimp)
Tikisa-majumba
(Motacilla aguimp)
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Ngeli: Aves (Ndege)
Oda: Passeriformes (Ndege kama shomoro)
Familia ya juu: Passeroidea
Familia: Motacillidae (Ndege walio na mnasaba na matikisa)
Horsfield, 1821
Ngazi za chini

Jenasi 2, spishi 14:

Tikisa au vibikula ni ndege wa jenasi Motacilla na Dendronanthus katika familia ya Motacillidae.

Wana mkia mrefu ambao wanautikisa mara kwa mara. Ndege hao ni wadogo na wembamba na spishi kadhaa zina rangi nzuri.

Hukamata wadudu ardhini na hutaga mayai 4-8 ndani ya kikombe cha nyasi ardhini.

Spishi za Afrika

hariri

Spishi za Asia

hariri
  NODES
Idea 1
idea 1
mac 1
os 4